2018-10-122018-10-122014http://10.10.11.5/handle/123/350COTTORAN ni kiua gugu cha kuua magugu aina ya majani mapana kwenye pamba. Cottoran inatumika kwenye maandalizi ya shamba kuzuia magugu kabla ya kupanda , na hata baada ya kupanda ila kabla mbegu hazijaanza kuota kwenye udongo wenye unyevu na mkavu pia. Cottoran inazuia magugu yafuatayo; cruciferous weeds, Chenopodium spp., Chrozophora spp., Solanum nigrum, Portulaca olereaceae, Molucella laevis, Ecballium elaterium, Tribulus terrestris, Xanthium spp., magugu aina ya nyasi na mengineyo.otherPambaMadawaCottoran - Kiua gugu cha kuua magugu ya majani mapana kwenye pambaWorking Paper