Mussa, D2018-09-272018-09-272018-05http://10.10.11.5/handle/123/296Katika toleo liliotangulia, tulizungumzia kuhusu utayarishaji wa mabwawa na matangi ya kufugia kambare, muda na kiasi cha mbolea na chokaa kinachohitajika kuongezwa kabla ya kuingiza samaki, uchaguzi na usafirishaji wa vifaranga vya kambare. Katika toleo hili tunamalizia kwa kuangalia mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kuingiza vifaranga hivyo kwenye bwawa.otherKambaleSamakiMabwawaUfugaji wa kambale kitaalamu IIArticle