Bodi ya korosho Tanzania2023-02-272023-02-272022-12-15http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/672Uzalishaji wa korosho duniani umekua ukiongezeka kila mwaka kutokana na jitihada zinazoendelea katika nchi mbalimbali kufanya upanuzi wa maeneo ya kilimo cha korosho, pamoja na matumizi ya teknolojiaka- ma vile matumizi ya mbegu bora. Aidha, katika bara la Afrika kumekuwa na jitihada za kuongeza ubanguaji wa korosho pamoja na kuongeza uzalishaji wa bidhaa zitokanazo na korosho.KoroshoUzalishajiKilimo cha korosho,. Jarida la korosho:kuanzia desemba 1 - 15, 2022Article