TARI2026-08-192026-08-192025https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/981VipeperushiMbegu hizi zinapatikana kwenye vituo vya utafiti wa kilimo (TARI) - na kwa wazalishaji mbegu katika madaraja yote: Awali, Msingi, Kuthibitishwa Ubora na mbegu. Mbegu hizi zina sifa zifuatazo; ; "Mavuno yenye tija, Wanga, Ungaunga, Ustahimilivu wa mazingira, Ustahimilivu wa wadudu (Tanabui, Vidung’ata, Nzi weupe) na Ukinzani wa magonjwa (Batobato, Michirizi ya Kahawia na Baka Jani).otherMihogoMbeguAina za mbegu bora za muhogo zilizogunduliwa na kuthibishwa kutumika TanzaniaAina za mbegu bora za Muhogo na sifa zakeOther