Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA)2026-09-012026-09-012026-08-28https://ww.meteo.go.tz.https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/1019Mabadiliko ya hali ya hewa Tanzania Oktoba - Disemba 2026Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa mwelekeo na taarifa rasmi ya msimu wa mvua za Vuli (Oktoba hadi Desemba) 2026, ikionyesha kuwepo kwa mfumo wa hali ya hewa wa El NiƱo yenye nguvu kubwa.Wananchi washauriwa namna ya kuandaa mashamba, mazao ya kuzingatia na mbegu gani zitumikeEl NinoMabadiliko ya hali ya hewa Oktoba - Disemba 2026El NinoArticle