Shirika la chakula Duniani2024-04-222024-04-222016-03-09http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/856JaridaJe umewahi kufikiria kuwa wadudu lishe ni moja ya majawabu ya kukabiliana na madhara ya mabadiliko ya tabianchi, halikadhalika lishe na kutokomeza umaskini? Kama hapana, basi fuatilia makala hii kutoka mfuko wa Umoja wa Mataifa wa maendeleo ya kilimo duniani, IFAD. Kilimo kinaongoza kwa kusababisha mabadiliko ya tabianchi na wakati huo huo ni sehemu ya majawabu ya kupunguza madhara ya mabadiliko ya tabianchi.otherSeneneWashawashaChakulaDunianiMwelekeo wa dunia katika kutegemea washawasha, senene na wadudu wengineo kama milo yenye virutubisho vingiArticle