Mkulima Mbunifu Toleo la 7, 20122018-02-232018-02-232012-07http://10.10.11.5/handle/123/108Jarida hili la Mkulima Mbunifu linalenga zaidi kutoa elimu sahihi kwa mkulima juu ya shughuli zao mbalimbali katika toleo hili kuna makala juu ya: Kuboresha ufugaji wa kuku; Teknolojia rahisi inayoboresha uzalishaji; Jumuisha miti na vichaka kwenye shamba; Anza mapema ili kuwa na mitamba yenye afya; Vitunguu, kiungo cha chakula chenye faida kwa mkulima - Wadudu wanaoshambulia vitunguu - Jinsi ya kufaidika na bei nzuri ya zao la kitunguu; Namna ya kuboresha ufugaji wa kuku; Karoti inahitaji palizi ya mara kwa mara; Usitandaze mbolea mbichi (samadi) shambaniotherUpandaji wa mitiUtunzaji wa mitambambolea mbichiMkulima mbunifu Toleo la 7, 2012Wadudu wanaoshambulia vitunguuufugaji wa kukuKarotiOther