Kuku site2024-09-112024-09-112024https://kuku.great-site.nethttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/929Banda la vifaranga ni muhimu liandaliwe vizuri. Andaa banda/chumba (brooder room) utakachokitumia kwa ajili ya kulea vifaranga kiwe na sifa zifuatazo: • Hewa ya kutosha. • Mwanga wa kutosha • Chanzo cha joto kama vyungu vya joto au bulb zinazozalisha joto. • Mazingira rahisi ya kufanya usafi. • Nafasi ya kutosha kuepusha msongamano wa vifaranga.otherMaleziVifarangaMalezi ya vifarangaLearning Object