Lyimo-Macha, J. GBatamuzi, E. K2018-09-202018-09-2020029987 605 55 9http://10.10.11.5/handle/123/273Makala hii inawasilisha ripoti ya ziara mbili zilizofanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba na Novemba 2001. Ziara ya kwanza ya kimafunzo ya wakulima iliwashirikisha wakulima na washauri wa ugani kutoka wilaya za Kilosa, Kilombero, Rufiji na Morogoro Vijijini, ambao waliwatembelea wakulima wa mpunga wa Mkindo, Turiani wilaya ya Morogoro. Ziara ya pili iliwajumuisha wakulima na washauri wa ugani kutoka wilaya za Mbeya vijijini, Iringa Vijijini, Njombe, Ludewa na Chunya ambao walitembelea vikundi vya wakulima wa wilaya ya Mbozi. Taarifa hii pia inapatikana katika lugha ya kiingereza.otherTeknolojiaZanaMafunzoKilimoMbaraliVikundi vya Wakulima na Teknolojia: Mafunzo toka Turiani, Morogoro na Mbozi, MbeyaBook