Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania2022-04-122022-04-122020-04-01http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/583Zabibu ni zao muhimu la biashara katika mkoa wa Dodoma. Zao hili likitunzwa vizuri kwa kufuata kanuni bora za kilimo, huweza kumpatia mkulima mavuno mengi na bora na kumuwezesha mkulima kupata kipato cha kutosha pamoja na kukuza uchumi wa nchi kwa ujumla.otherKilimo cha zabibuaina za zabibumatumizi ya zabibujinsi ya kukatia MizabibuKilimo bora cha ZabibuAina ya Zabibu na matumizi yakeJinsi ya kukatia mizabibuMatunzo ya shamba la mizabibu