SUA2023-08-252023-08-252023-03-21http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/702Bilinganya imo katika jamii ya mimea inayohusisha nyanya, pilipili, viazi mviringo na nyanya mshumaa. Mboga hii ina viini lishe muhimu kama vile madini aina ya chokaa na chuma, Vitamini A, B na C, wanga, protini na maji. Mboga hii hutumika kutengeneza supu au kama kiungo katika vyakula mbalimbali.BilinganyaKilimo boraKilimo bora cha bilinganya.Article