Inades-formation, Tanzania2022-04-202022-04-201987-11-13http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/634Kijitabu kidogo hiki kina mambo ya msingi. Yafaa ukisome kabla hujaanza kujifunza. Kinaelekeza mambo muhimu matano: Masomo haya yatamsaidia na kumfaidi nani?, Zipo faida gani katika kujifunza?, Yakupasayo kujua juu ya masomo haya, Jinsi ya kujifunza masomo haya, Jinsi ya kufanya kazi za mazoezi.otherKulimaUfugajiKufuga kisasaKulima na kufuga kwa njia ya kisasaBook