Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele2024-02-202024-02-202022-06-25http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/793Ufuta ni zao la biashara ambalo hutumika kama chakula cha binadamu.Mbegu zake hutumika kutengeneza vyakula mbalimbali kama kashata, mikate, tui,bwimbwi, mashudu yake hutumika kulisha mifugo.Tanzania ni nchi ya kwanza duniani kwa uzalishaji wa ufuta ikifuatiwa na Myanmar na India (chanzo:FAO 2018. Ufuta hustawi zaidi mikoa ya Lindi, Mtwara,Dodoma,Manyara na MbeyaKilimoUfutaKilimo bora cha ufutaArticle