2018-06-132018-06-132015http://10.10.11.5/handle/123/152Samaki wamekuwa ni chanzo kizuri na kikubwa cha protein Duniani. Ulaji wa samaki umeongezeka maradufu tokea Mwaka 1973; asilimia 90 (90%) la ongezeko hilo likiwa kwa nchi zinazoendelea (Developing Countries). Tani milioni 45.4 za samaki zililiwa Duniani Mwaka 1973: India-tani milioni 1.8, Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara-tani milioni 2.6; China-tani milioni 4.9 na Japan-tani milioni 7.6. Benki ya Dunia (WB) inakadiria kwamba ifikapo Mwaka 2030, asilimia 70 (70%) ya mahitaji (matumizi/ulaji) ya samaki yatatokea kwenye Bara la Asia.otherUvuviSamakiBahariniMaziwaTanzania iyajo uvuvi wa kisasa unaotumia sayansi, teknolojia na ubunifuArticle