Taasisi ya Utafiti wa Kahawa Tanzania2026-09-072026-09-072018https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/1031KipeperushiKidomozi ni nondo mdogo mweupe ambaye mchana hujificha chini ya majani ya kahawa na kuruka usiku. Kidomozi hushambulia zaidi majani ya kahawa ya aina ya Arabika. Mashambulizi yanayofanywa na wadudu hawa hupunguza mazao kwa asilimia 8-10. Nondo wa kidomozi hutaga mayai juu ya majani ya kaha­wa na huangua viwavi wadogo ambao huharibu majani kwa kuacha makovu ya kahawiaotherKidomoziKahawaMagonjwaDhibiti kidomozi kwa mavuno mengi na bora ya kahawaOther