Taasisi ya chakula na lishe2024-02-232024-02-232011-08www.tfnc.or.tz9976 910 56 8http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/813Ulaji usiozingatia kiasi na mchanganyiko wa makundi yote ya chakula kama nafaka, mizizi na ndizi,vyakula vyenye asili ya wanyama na jamii ya kunde,mbogamboga na mtunda huchangia kwa kiasi kikubwa viashiria hatari vya magonjwa sugu kama vile ongezeko la lehemu na sukari kwenye damu.Hatima ya hali ni kupatwa na magonjwa sugu yasiyo ya kuambukiza kama vile kisukari,shindikizo kubwa la damu,ugonjwa wa moyo,baadhi ya saratan na mengineyo.otherMagonjwa suguKuambukizaUlajiMaishaZuia magonjwa sugu yasiyo ya kuambukiza kwa kuzingatia.Ulaji unaofaa na mtindo bora wa maisha.Learning Object