Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)2026-08-202026-08-202024https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/985KipeperushiKitalu mkeka ni nini? Kitalu mkeka ni uoteshaji wa miche ya mpunga katika udongo iliyochanganywa na samadi na kusambazwa kina kifupi juu ya ardhi iliyosawazishwa na isiyoruhusu mizizi kupenya Miche hii inakuwa tayari kupandwa ndani ya siku 8 -14 baada ya kuota.otherMpungaMiche ya mpungaKitaluKitalu mkeka kilichoboreshwaOther