2019-03-122019-03-122019-03http://10.10.11.5/handle/123/460Kilimo Biashara cha Alfalfa Tanzania ni Kilimo Kamilifu (Comprehensive farming) yaani kilimo Shamba hadi Sokoni (From farm to fork), ni Kilimo kinachoangalia mzunguko mzima Wa kuongeza thamani kupitia mnyororo Wa uzalishaji. Kilimo hichi kitawahusisha watafiti katika ngazi zote kuanzia Shamba hadi Dukani.otherAlfalfaMajaniMikundeAmka na Alfalfa Tanzania: Majani jamii ya mikundeArticle