Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania - TFRA2026-10-162026-10-162024https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/1052Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) ni Mamlaka ya Serikali chini ya Wizara ya Kilimo iliyoanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Mbolea Na. 9 ya Mwaka 2009 kwa lengo la kudhibiti uzalishaji, uingizaji, usafirishaji na usambazaji wa mbolea nchini ili kuongeza tija ya kilimo na usalama wa chakula.otherIjue TFRAOther