Taasisi ya utafiti wa kilimo Tanzania2026-02-172026-02-172024https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/959KipeperushiMATUNZO YA SHAMBA NA UVUNAJI Ili kupata mavuno yenye tija ni muhimu kutunza vizuri shamba la mizabibu. Matunzo ya shamba ni pamoja na kupalilia, kutifulia, kudhibiti visumbufu na kukatia mizabibu. Palilia shamba mara kwa mara ili kudhibiti magugu, kwa wastani palizi tatu zinatosha katika msimu mmoja . Ni muhumu kutifulia udongo kwenye shamba la mizabibu kila wakati ili kuvuna maji ya mvua.otherZabibuMtunzo ya zabibuUvunaji wa zabibuMatunzo ya shamba na uvunaji wa zabibuOther