Mkulima

Uwasilishaji hivi karibuni

  • Inades formation Tanzania (inades formation Tanzania, 1992)
    Tanzania ina idadi kubwa ya kuku wa kienyeji wanaofugwa kwa mtindo wa huria vijijini na hata mijini. Katika mtindo huu wa ufugaji, kuku huachwa huru mchana kutwa kujitafutia chakula wao wenyewe. Pengine baadhi ya ...
  • Joack Company, Joack Company (Joackcompany.business, 2021-10-21)
    Kilimo cha miwa ni kilimo chenye tija kwa mkulima, kilimo hiki kinaweza kufanywa na mtu yeyote yule aidha awe ameajiliwa au laaa.
  • Ngara, Lulenge (Tanzania Educational publishers L.T.D, 2002)
  • Kinabo, J.L (Sokoine university of agriculture, 2004)
    Mfumo wa ulaji unaotumika katika vijiji hivi umegawanyika katika sehemu tano ambazo ni: Baba kula pamoja na watoto wa kiume bila kubagua umri. Mama kula peke yake Mama kula na watoto wa kike bila kubagua umri Watoto wa ...
  • Myoya, T.J (Shirika la kilimo Uyole, 1990-05)
    Katika Nyanda za Juu za Kusini ni Mikoa miwili tu (Iringa na Mbeya) ambayo idadi ya ng'ombe wa maziwa imeongezeka sang. Hii ni baada ya kuanzishwa kwa mradi wa kushughulikia wafugaji wadogo wadogo kati ya nchi ya Uswisi ...
  • Wizara ya kilimo chakula na ushirika (Wizara ya kilimo Chakula na Ushirika, 2006-04)
    Mwaka 2005/2006 Tanzania inakabiliwa na upungufu inkuwa wa chakula. Sababu kubwa ya upungufu huo ni hah ya ukame ulioikumba nchi yetu. Hata hivyo tatizo hilo la upungufu wa chakula lisingckuwa kubwa kiasi hicho iwapo ...
  • TARP II Project (Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo SUA, 2002-06)
    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilinio (SUA) kwa kushirikiana na Wizara ya Kilinio na Uhakika wa Chakula (MAFS), pamoja na Chuo Kikuu cha kilinio cha Norway (NLH). kinaiekeleza Mradi wa Uhakika wa Chakula na Palo la Kaya ...
  • Halmashauri ya Taifa ya Mazao (Halmashauri ya Taifa ya Mazao, 1999)
    The aim of this pamphlet is to supplement our earlier ones like the “Official Handbook” and “Halmashauri ya Taifa Isimamiayo Mazao” in making the citizens of this country more informed about their National Agricultural ...
  • Maganga, S. (TFNC Readers series, 1994)
    Mwili wa binadamu unahitaji maji na virutubisho vya aina mbali mbali. Virutubisho hivyo ni vile vya aina ya nishati, utomwili, madini na vitami-ni. Vyote hivi huhitajika katika kulinda na kujenga mwili ikiwa ni pamojana ...
  • Shetto, M.C. (chuo cha kilimo cha Sokoine, 2003-06)
    Wanawarsha pia waliorodhesha mazao ya jamii ya mizizi ili kuelewa aina za mazao haya. Aina tano za mazao ya jamii ya mizizi yaliorodheshwa nayo ni: Muhogo, Viazi vitamu, Magimbi, Viazi vikuu, Viazi mviringo, angawizi ...
  • chuo kikuu cha kilimo cha sokoine (chuo cha kilimo cha Sokoine, 2015)
    Ngozi ni mail kwako wewe na kwa nchi yako. Ngozi za Tanganyika huuzwa mahali pote duniani. Ngozi za nchi yetu lazima ziwe safi kabisa ill ziweze knstahili sifa nzuri katika soko la dunia.
  • Gilla, Alli (Inades Formation Tanzania, 1993)
    Kwa muda mrefu wazee wetu wamekuwa wakitegemea kilimo. Mahitaji yao yote yamekuwa yakitokana na mashamba yao na misitu. Hawakuwa na shida kubwa ya chakula au kuni Leo hii mabadiliko mengi yametokea. Watu wameongezeka ...
  • Shirika la chakula duniani (Shirika la chakula duniani, 2023-04-25)
    Protini ni nini? Protini ni moja ya virutubisho vitatu, pamoja na mafuta na wanga, ambayo tunahitaji kwa kiasi kikubwa (macro) katika mlo wetu. Nywele zetu, ngozi, mifupa na misuli yote yametengenezwa kutokana na protini ...
  • Shirika la chakula duniani (Shirika la chakula duniani, 2023-08)
    Papai ni tunda la kushangaza na lenye afya. Ina 'antioxidants' ambayo hupunguza kuvimba na kupambana na magonjwa na kusaidia mtu kuonekana na umri mdogo.
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2016-03-09)
    Je umewahi kufikiria kuwa wadudu lishe ni moja ya majawabu ya kukabiliana na madhara ya mabadiliko ya tabianchi, halikadhalika lishe na kutokomeza umaskini? Kama hapana, basi fuatilia makala hii kutoka mfuko wa Umoja wa ...
  • Mamlaka ya chakula na lishe. (Mamlaka ya chakula na lishe, 2018-03-09)
    Virutubishi mchanganyiko vinapotumiwa na watoto havileti madhara, lakini vinaweza kusababisha maudhi madogo madogo, mfano: Kuharisha kwa muda mfupi: Baadhi ya watoto hupata tatizo la kuharisha kwa muda mfupi baada ya ...
  • Mamlaka ya chakula na lishe. (Mamlaka ya chakula na lishe, 2019-03-22)
    Virutubishi mchanganyiko vinapotumiwa na watoto havileti madhara, lakini vinaweza kusababisha maudhi madogo madogo, mfano: ØKuharisha kwa muda mfupi: Baadhi ya watoto hupata tatizo la kuharisha kwa muda mfupi baada ya ...
  • Mtenga, L.A (Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, 2003)
    Mradi wa uboreshaji wa mauzo, uhifadhi na ulaji wa nyama vijijini unafadhiliwa na Serikali ya Norway kupitia shirika lake la maendeleo (NORAD) chini ya mradi mkubwa wa Uhakika wa Chakula na Palo la Kaya kwa Wakulima ...
  • Global publishers (Global publishers, 2020-01-02)
    KWA miaka nenda rudi, kilimo ndiyo kimekuwa uti wa mgongo kwa watu wengi hasa katika nchi zinazoendelea kama Tanzania.Tangu enzi za mababu zetu, kilimo ndiyo kimekuwa njia ya kuhakikisha kaya zinapata mahitaji muhimu, ...
  • Global publishers (Global publishers., 2023-12-09)
    Mbegu za maboga zimekuwa kimbilio namba moja kwa baadhi ya watu, wakiwamo kina baba wanaozichangamkia kwa nia ya kujiongezea nguvu za kiume, sawa na ilivyo kwa samaki pweza na supu yake. Madaktari na wataalamu wa lishe ...

View more