Ghala la Taarifa na machapisho ya kilimo
Ghala hili,limebeba machapisho na taarifa mbalimbali za kilimo zilizo rahisishwa kwa matumizi ya wakulima, wafugaji, wavuvi, maafisa ugani na wadau wengine wa kilimo.
Jumuiya katika mkulima
Recently Added
-
Wizara ya kilimo chakula na ushirika
(Wizara ya kilimo Chakula na Ushirika, 2006-04)
Mwaka 2005/2006 Tanzania inakabiliwa na upungufu
inkuwa wa chakula. Sababu kubwa ya upungufu huo ni
hah ya ukame ulioikumba nchi yetu.
Hata hivyo tatizo hilo la upungufu wa chakula lisingckuwa
kubwa kiasi hicho iwapo ...
-
TARP II Project
(Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo SUA, 2002-06)
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilinio (SUA) kwa
kushirikiana na Wizara ya Kilinio na Uhakika wa Chakula
(MAFS), pamoja na Chuo Kikuu cha kilinio cha Norway
(NLH). kinaiekeleza Mradi wa Uhakika wa Chakula na
Palo la Kaya ...
-
Halmashauri ya Taifa ya Mazao
(Halmashauri ya Taifa ya Mazao, 1999)
The aim of this pamphlet is to supplement our earlier ones like the “Official Handbook” and “Halmashauri ya Taifa Isimamiayo Mazao” in making the citizens of this country more informed about
their National Agricultural ...
-
Maganga, S.
(TFNC Readers series, 1994)
Mwili wa binadamu unahitaji maji na virutubisho vya aina mbali mbali. Virutubisho hivyo ni vile vya aina ya nishati, utomwili, madini na vitami-ni. Vyote hivi huhitajika katika kulinda na kujenga mwili ikiwa ni pamojana ...
-
Shetto, M.C.
(chuo cha kilimo cha Sokoine, 2003-06)
Wanawarsha pia waliorodhesha mazao ya jamii ya mizizi ili kuelewa
aina za mazao haya.
Aina tano za mazao ya jamii ya mizizi
yaliorodheshwa nayo ni: Muhogo, Viazi vitamu, Magimbi, Viazi
vikuu, Viazi mviringo, angawizi ...
View more