Browsing by Author "Dahman, Mohamed"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Umuhimu wa Kilimo na shughuli za mabwana shamba Afrika(DW, 2008-04-28) Dahman, MohamedWakati huu ambapo kuna wasi wasi mkubwa wa kimataifa kuhusu mustakbali wa upatikanaji wa chakula duniani haya ni matamshi yanayofaa kutafakariwa : ' Nafundisha watoto wa chuo kikuu kilimo na shughuli za mabwana shamba lakini wengi wao hupendelea kujifunza kazi nyengine hususan fani ya teknolojia ya mawasiliano ya habari kwa sababu kilimo ni kwa ajili ya watu wasiokwenda shule.