Browsing by Author "Farm Radio"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Zao la Mahindi(Upscaling Technologies in Agriculture Through Knowledge and Extension, 2017-12) Farm RadioMwongozo huu ni matokeo ya mradi “Upscaling Technologies in Agriculture Through Knowledge and Extension (UPTAKE) katika mradi mkubwa wa “New Alliance ICT Extension Challenge Fund. UPTAKE unafadhiliwa na IFAD chini ya usimamizi wa Farm Radio International (FRI) na kutekelezwa na mashirika ya FRI na CABI. Mwongozo huu utasaidia kutoa mafunzo kwa maafisa ugani, wakulima na wadau mbalimbali katika uzalishaji wa mahindi. Mwongozo unaweza kutolewa nakala bure kama hautatumika kibiashara. Toleo hili limechapishwa mara ya pili kwa ufadhili wa IFAD.