Browsing by Author "Idara ya Ukuzaji Viumbe Maji"
Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
Item Chakula bora cha samaki(Wizara ya Mifugo na Uvuvi, 2022-02) Idara ya Ukuzaji Viumbe MajiChakula bora cha samaki ni hitaji muhimu katika ukuaji wa samaki. Matumizi ya chakula duni husababisha udumavu wa samaki. Kwa kawaida, bwawa lililorutubishwa, hutengeneza chakula cha asili ambacho ni nafuu na hupunguza gharama za uzalishaji. Ili kufuga kwa tija na kupata mavuno makubwa, inashauriwa mfugaji atumie chakula bora cha ziada. Ubora wa chakula ni pamoja na uwepo wa virutubisho muhimu na urahisi wa kumenge’nywa na samaki.Item Mbinu bora za ufugaji samaki kwenye mabwawa ya kuchimba.(Wizara ya Mifugo na Uvuvi, 2021) Idara ya Ukuzaji Viumbe MajiUfugaji wa samaki ni miongoni mwa tasnia inayopewa kipaumbele na jamii mbalimbali hapa nchini, kwa kuwa inatoa fursa za kuongeza kipato, lishe na ajira. Ufugaji wa samaki huweza kufanywa sambamba na kilimo, hususani cha bustani na ufugaji wa wanyama. Ufugaji wa samaki huweza kufanyika kwa lengo la kujikimu katika ngazi ya familia na kibiashara