Repository logo
  • English
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • Latviešu
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Қазақ
  • বাংলা
  • हिंदी
  • Ελληνικά
  • Српски
  • Yкраї́нська
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
Repository logo
  • Communities & Collections
  • All of DSpace
  • English
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • Latviešu
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Қазақ
  • বাংলা
  • हिंदी
  • Ελληνικά
  • Српски
  • Yкраї́нська
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
  1. Home
  2. Browse by Author

Browsing by Author "Kimiti, P.P"

Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Siasa ya Tanu katika Kilimo.
    (Afisa kilimo msaidizi ofisi yakilimo Tanu., 1977) Kimiti, P.P
    TANU ya sasa ina kazi kubwa sana, maana TANU inafanya kazi ya kuelimisha, kueleza na kujcnga Taifa letu ili litoke katika hali ya unyongc na kuwa katika hali ya neema na nguvu. Kania sote tunavyoelcwa ni kwamba katika kuwaongoza wananchi. ni budi kwanza tuwasikilize, tushirikiane nao na tufanye kazi pamoja nao. Uhusiano uliopo kati ya Serikali na chama cha TANU ni mkubwa. J ambo la kukumbukwa ni kwamba chama siyo chombo cha Serikali, bali ni Serikali ambayo ndiyo chombo kinachotumiwa na chama katika kutekeleza matakwa yo vote ya wananchi ambao sisi sote tunawatumikia. Hii ndiyo maana tunasema kuwa chama kina wajibu mkubwa wa kufanya, katika kufikiria misingi ambayo baada ya kuwekwa kwa uwazi, ni budi Serikali ifuate na kutekeleza. Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika ni sehemu ya Serikali. Hivyo Wizara hii ina wajibu mkubwa sana katika kuitekeleza siasa ya TANU ambayo ndiyo inayoongoza Serikali.

DSpace software copyright © 2002-2026 LYRASIS

  • Cookie settings
  • Privacy policy
  • End User Agreement
  • Send Feedback