Repository logo
  • English
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • Latviešu
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Қазақ
  • বাংলা
  • हिंदी
  • Ελληνικά
  • Српски
  • Yкраї́нська
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
Repository logo
  • Communities & Collections
  • All of DSpace
  • English
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • Latviešu
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Қазақ
  • বাংলা
  • हिंदी
  • Ελληνικά
  • Српски
  • Yкраї́нська
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
  1. Home
  2. Browse by Author

Browsing by Author "Kinabo J. L."

Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Uhakika wa Chakula Katika Kaya
    (Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, 2001) Kinabo J. L.
    Uhakika wa chakula unamaanisha kuwepo kwa chakula cha kutosheleza mahitaji ya jamii nzima kwa muda wote kwa ajili ya afya bora. Kaya ambayo hai- wezi kutimiza mahitaji yake ya chakula kwa kipindi cha mwaka mzima haina uhakika wa chakula. Kaya hiyo inatambulika kuwa ina tatizo sugu la uhakika wa chakula. Mara nyingi kaya hizo huwa ni maskini kupindukia na hasa wale wasio na ardhi au kitega uchumi chochote. Tatizo la muda mfupi wa uhakika wa chakula ni lile ambalo kaya ina uwezo wa kupata chakula kwa kipindi kifupi tu cha mwaka.
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Utayarishaji wa mboga za majani
    (Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo(SUA ), 2015) Kinabo J. L.; Msuya J.M.; Mnkeni A.P.; Nyaruhucha C.; Ishengoma J.
    Mboga za majani zinashika nafasi muhimu sana katika vyakula vyetu. Zinaliwa kila siku na mara nyingi zaidi ya mara moja kwa siku. Zipo aina nyingi za mboga za majani, nyingine zinalimwa na nyingine zinaota zenyewe porini na mashambani wakati wa msimu wa mvua. Mboga zina virutubishi kama madini na vitamini ambavyo vinahitajika mwilini kwa afya bora. Hata hivyo pamoja na kwamba zina virutubishi vya kutosha na zinaliwa kila siku, watu wengi wanapata matatizo ya afya yanayotokana na ukosefu wa virutubishi vinavyopatikana katika mboga za majani kwa mfano upofu na upungufu wa damu. Hali hii inajitokeza kwa sababu gani?

DSpace software copyright © 2002-2026 LYRASIS

  • Cookie settings
  • Privacy policy
  • End User Agreement
  • Send Feedback