Browsing by Author "Kituo cha Utafiti wa Miwa Kibaha"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Kilimo cha viazi vitamu - Tanzania(Kituo cha Utafiti wa Miwa Kibaha, 2024) Kituo cha Utafiti wa Miwa KibahaViazi vitamu ni zao mojawapo muhimu la chakula na lishe bora nchini Tanzania. Viazi vitamu vina wanga mwingi hivyo ni njia rahisi ya kuupatia mwili nguvu. Majani ya viazi vitamu yanatumika kama mboga na kuupatia mwili vitamini na madini. Pia viazi vitamu ni chanzo cha kipato. Hata hivyo, wastani wa uzalishaji shambani ni mdogo kiasi cha 5.6t/ha ukilinganisha na uzalishaji unaoweza kufikiwa wa 20–40t/ha. Soko la viazi vitamu sio maalum, kuna wauzaji wadogo na wakubwa.