Browsing by Author "Lasway, Octavian J"
Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
Item Njia boa za kukinga Mimea ako dhidi ya jua kali na mvua kubwa(Holly green agric group LTD, 2022-07-20) Lasway, Octavian JItem Njia bora za kukinga mimea yako dhidi ya jua kali na mvua kubwa(2022-07-20) Lasway, Octavian JJua kali utakabiliana nalo kwa kujua aina ya udongo ulionao mfano kama udongo wako unahifadhi sana maji na jua kali lipo ila bado uhifadhi wamaji ni mkubwa hapa utapaswa kukabiliana na hali hii kwa kumwagilia mara moja kwa siku moja ili kuepukana na ugonjwa wa kata kiuno. Ila kama udongo unahifadhi maji najua likawa kali kiasi ambacho saa sita mchana maji yashakauka na mmea unaanzakusinyaa au kuweka rangi ya njano kutokana na jua kali hapo inabidi ukabiliane na changamoto hii kwa kufanya yafuatayo:-a. Kuweka matandazo ya majani (Organicmulch)