Browsing by Author "Mkulima Mbunifu Toleo la 7, 2012"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Mkulima mbunifu Toleo la 7, 2012(Biovision, 2012-07) Mkulima Mbunifu Toleo la 7, 2012Jarida hili la Mkulima Mbunifu linalenga zaidi kutoa elimu sahihi kwa mkulima juu ya shughuli zao mbalimbali katika toleo hili kuna makala juu ya: Kuboresha ufugaji wa kuku; Teknolojia rahisi inayoboresha uzalishaji; Jumuisha miti na vichaka kwenye shamba; Anza mapema ili kuwa na mitamba yenye afya; Vitunguu, kiungo cha chakula chenye faida kwa mkulima - Wadudu wanaoshambulia vitunguu - Jinsi ya kufaidika na bei nzuri ya zao la kitunguu; Namna ya kuboresha ufugaji wa kuku; Karoti inahitaji palizi ya mara kwa mara; Usitandaze mbolea mbichi (samadi) shambani