Repository logo
  • English
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • Latviešu
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Қазақ
  • বাংলা
  • हिंदी
  • Ελληνικά
  • Српски
  • Yкраї́нська
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
Repository logo
  • Communities & Collections
  • All of DSpace
  • English
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • Latviešu
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Қазақ
  • বাংলা
  • हिंदी
  • Ελληνικά
  • Српски
  • Yкраї́нська
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
  1. Home
  2. Browse by Author

Browsing by Author "Programu ya pantil"

Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Kilimo na biashara ya maua kwa wakulima na wafanyabiashara wadogo wadogo
    (Chuo cha kilimo cha Sokoine., 2009) Programu ya pantil
    ‘Carnation’ ni ua ambalo asili yake ni nchi za Ulaya zenye hali ya hewa ya baridi. Hapa Tanzania maua ya ‘carnation’ yaliletwa na wazungu katika vipindi tofauti. Mpaka sasa maua haya yanalimwa vijiji vya Tchenzcma na Nyandira huko Mgeta na kijiji cha Ruvuma (Morning Side) mkoani Morogoro. Maua aina ya ‘carnation’ pia yanalimwa na kampuni ya Highlanders wilayani Njombe na kijiji cha Ndiwili wilayani Kilolo katika mkoa wa Iringa. Mpaka sasa ugavi wa maua ya ‘carnation’ hautoshelczi mahitaji ya soko la ndani. Kwa mfano, wafanyabiashara wanahitaji zaidi ya banchi 100,000 kwa mwaka wakati wakulima hawawezi hata kuzalisha nusu yake. Matokco yakc maua mengi ya ‘carnation’ kwa ajili ya soko la ndani hununuliwa toka Nairobi nchini Kenya. Ni dhahiri kuwa watu wengi nchini Tanzania hawajui kiliino cha maua ya ‘carnation’. Sehemu hii ya kijitabu ina lengo la kuelezea juu ya kilimo cha ‘carnation’ kwa wakulima wadogo wadogo. hasa uzalishaji wa michc, upandaji wa michc bustanini, utunzaji wa bustani na uvunaji wa maua. Kuna aina kuu mbili za ‘carnation’ nazo ni ‘carnation’ aina ya ‘standard’ na ‘spray’. ‘Carnation aina ya ‘standard’ hutoa ua moja tu kwa kila tawi au shina wakati ‘carnation’ aina ya ‘spray’ hutoa maua mengi kwa tawi moja.
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Maua kwa wakulima na wafanyabiashara
    (Chuo cha kilimo cha Sokoine., 2009) Programu ya pantil
    Carnation’ ni ua ambalo asili yake ni nchi za Ulaya zenye hali ya hewa ya baridi. Hapa Tanzania maua ya ‘carnation’ yaliletwa na wazungu katika vipindi tofauti. Mpaka sasa maua haya yanalimwa vijiji vya Tchenzcma na Nyandira huko Mgeta na kijiji cha Ruvuma (Morning Side) mkoani Morogoro. Maua aina ya ‘carnation’ pia yanalimwa na kampuni ya Highlanders wilayani Njombe na kijiji cha Ndiwili wilayani Kilolo katika mkoa wa Iringa. Mpaka sasa ugavi wa maua ya ‘carnation’ hautoshelczi mahitaji ya soko la ndani. Kwa mfano, wafanyabiashara wanahitaji zaidi ya banchi 100,000 kwa mwaka wakati wakulima hawawezi hata kuzalisha nusu yake. Matokco yakc maua mengi ya ‘carnation’ kwa ajili ya soko la ndani hununuliwa toka Nairobi nchini Kenya. Ni dhahiri kuwa watu wengi nchini Tanzania hawajui kiliino cha maua ya ‘carnation’. Sehemu hii ya kijitabu ina lengo la kuelezea juu ya kilimo cha ‘carnation’ kwa wakulima wadogo wadogo. hasa uzalishaji wa michc, upandaji wa michc bustanini, utunzaji wa bustani na uvunaji wa maua.

DSpace software copyright © 2002-2025 LYRASIS

  • Cookie settings
  • Privacy policy
  • End User Agreement
  • Send Feedback