Browsing by Author "SUA"
Now showing 1 - 7 of 7
Results Per Page
Sort Options
Item Jinsi ya kutengeneza bwawa la kufugia samaki.(SUA, 2023-03-21) SUAZipo namna mbalimbali za utengenezaji wa bwawa la samaki, kulingana na aina ya bwawa lenyewe.Item kilimo bora cha njegere.(2023-03-13) SUANjegere ni mbegu za spishi za mimea katika jamii kunde ambayo hukuzwa sehemu mbalimbali za dunia katika maeneo ya ukanda wa juu. Spishi kadhaa za njegere ni:• njegere kubwa (chickpea) • njegere ya kizungu (common pea) • njegere sukari (snow pea and snap pea)Item Kilimo bora cha bilinganya.(SUA, 2023-03-21) SUABilinganya imo katika jamii ya mimea inayohusisha nyanya, pilipili, viazi mviringo na nyanya mshumaa. Mboga hii ina viini lishe muhimu kama vile madini aina ya chokaa na chuma, Vitamini A, B na C, wanga, protini na maji. Mboga hii hutumika kutengeneza supu au kama kiungo katika vyakula mbalimbali.Item Kilimo bora cha njegere.(2023-03-21) SUANjegere ni mbegu za spishi za mimea katika jamii kunde ambayo hukuzwa sehemu mbalimbali za dunia katika maeneo ya ukanda wa juu. Spishi kadhaa za njegere ni: • njegere kubwa (chickpea) • njegere ya kizungu (common pea) • njegere sukari (snow pea and snap pea)Item Kilimo cha Majani ya Malisho ya Mifugo(SUA, 2022-09) SUAWafugaji nchini Tanzania wametakiwa kuanza kulima majani aina ya JUNCAO yanayozalishwa katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kutokana na majani hayo kuonekana kuwa na faida nyingi kwa mifugo na uwezo wake wa kukua haraka na kuvumilia ukame na hivyo kupunguza changamoto za malisho wakati wa kiangazi na kumaliza migogogo ya wakulima na Wafugaji.Item upandaji wa migomba ya kisasa.(2023-03-21) SUAHapa Tanzania kilimo cha migomba kimekuwepo Kwa miaka mingi. Kilimo hiki ni maarufu sana kwa sababu zao la ndizi limekuwa likitumika kama chakula kikuu kwa baadhi ya mikoa kama vile Kagera, Kilimanjaro na Mbeya na hivyo kulifanya muhimu, kufuatia mazao ya mahindi, mpunga, mtama, muhogo,viazi na mazao ya jamii ya kunde kama vile maharage. Zao la ndizi linaweza kuwa moja kati ya mazao ya biashara iwapo litazalishwa kwa kufuata kanuni bora za uzalishaji wa zao hilo, ikwa ni pamoja na kupanda aina bora ya migomba inayozaa ndizi zinazotambulika katika masoko ya kimataifa.