Repository logo
  • English
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • Latviešu
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Қазақ
  • বাংলা
  • हिंदी
  • Ελληνικά
  • Српски
  • Yкраї́нська
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
Repository logo
  • Communities & Collections
  • All of DSpace
  • English
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • Latviešu
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Қазақ
  • বাংলা
  • हिंदी
  • Ελληνικά
  • Српски
  • Yкраї́нська
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
  1. Home
  2. Browse by Author

Browsing by Author "Tarimo, Ronald, B"

Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Jifunze Ufugaji bora wa Samaki
    (Sokoine University of Agriculture, 2019-11-23) Tarimo, Ronald, B
    Jifunze ufugaji bora wa sato na kambale. hiki nikitabu kilichoandaliwa na wataalamu wa Samaki kutoka chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo (SUA) na kutokana na uhaba wa machapisho juu ya uzalishaji na ufugaji wa samaki wataalamu hawa wameeleza jinsi yakufuga kitaalamu na kuweza kupata chakula chakutosha na kipato zaidi,
  • No Thumbnail Available
    Item
    Uzalishaji na uleaji wa vifaranga vya kambale
    (Sokoine University of Agriculture, 2021-06-21) Tarimo, Ronald, B
    Kitabu hiki Jifunze Ufugaji Bora wa Samaki Aina ya Sato na Kambale kimeandikwa kutokana na uhaba mkubwa tulionao nchini wa majarida na vitabu vyenye lengo la kumsaidia Mtanzania kuongezaupatikanaji wa chakula na kukuza kipato. Mara nyingi vitabu vinavyoandikwa zaidi nchini vinahusu utamaduni wa Mtanzania;aghalabu hadithi, nyimbo, historia mbali mbali na vingine vinalenga ukulima wa mazao mbali mbali kama mahindi, mihogo n.k. Aidha, hakuna machapisho ya kutosha yaliyo kwa lugha ya Kiswahili ili kumsaidia mkulima wa kitanzania kuelewa vema mbinu bora za ufugaji samaki.Kwa mantiki hii, kitabu hiki kimeelezeakwa lugha nyepesi ya Kiswahili kanuni za ufugaji bora wa samaki kwa kuzingatia mbinu na teknolojia sahihi za ufugaji bora wa samaki aina ya Sato (au perege kama wengine wanavyomwita) na kambale ili kuwa na ufugaji endelevu. Kanuni hizi zinalenga kupanua uelewa wa wadau katika uhudumiaji, usafirishaji na uhifadhi wa samaki na mazao yake.

DSpace software copyright © 2002-2026 LYRASIS

  • Cookie settings
  • Privacy policy
  • End User Agreement
  • Send Feedback