Browsing by Author "Wizara ya Kilimo, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Mwongozo wa Uendelezaji wa Tasnia ya Parachihi(Wizara ya Kilimo - Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 2023) Wizara ya Kilimo, Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaTasnia ya parachichi inakabiliana na changamoto mbalimbali zikiwemo kukosekana kwa uratibu wa pamoja, uzalishaji usiozingatia kanuni bora za kilimo, uchache wa vifaa vya uhifadhi na usafirishaji. Hivyo, katika kuboresha usimamizi wa tasnia ya zao la parachichi Wizara kwa kushirikiana na wadau imeandaa ‘Mwongozo wa Usimamizi wa Tasnia ya Parachichi’. Mwongozo huu una sura sita (6) ambazo ni utangulizi, Kanuni bora za uzalishaji wa zao la Parachichi, viwango vya ubora wa zao la parachichi, wajibu wa kila mdau, kalenda ya uvunaji wa zao la parachichi katika maeneo ya uzalishaji na hitimisho.