Repository logo
  • English
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • Latviešu
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Қазақ
  • বাংলা
  • हिंदी
  • Ελληνικά
  • Српски
  • Yкраї́нська
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
Repository logo
  • Communities & Collections
  • All of DSpace
  • English
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • Latviešu
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Қазақ
  • বাংলা
  • हिंदी
  • Ελληνικά
  • Српски
  • Yкраї́нська
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
  1. Home
  2. Browse by Author

Browsing by Author "Wizara ya kilimo chakula na ushirika"

Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Ukulima wa Kisasa.
    (Wizara ya kilimo Chakula na Ushirika, 2006-04) Wizara ya kilimo chakula na ushirika
    Mwaka 2005/2006 Tanzania inakabiliwa na upungufu inkuwa wa chakula. Sababu kubwa ya upungufu huo ni hah ya ukame ulioikumba nchi yetu. Hata hivyo tatizo hilo la upungufu wa chakula lisingckuwa kubwa kiasi hicho iwapo wananchi kwa ujumla wangekadiria sawa sawa kiasi cha chakula wanachohilaji na kukihifadhi wakati wa mavuno. Ukadiriaji wa mahitaji ya chakula katika kaya ni jambo la muhirnu katika kuhakikisha kuwa familia hasa za vijijini zinakuwa na chakula cha kutoshelcza mahitaji ya mwaka mzima. Kaya ikifahamu mahitaji yake itaweka mipango thabiti ya uzalishaji kulingana na mahitaji ya chakula na matumizi mengine kama vile kuuza, kutoa zawadi, kufanya sherehe na shughuli mbalimbali za mila na'desturi. Wakati wa kukadiria kiasi cha mazao ya kuhifadhi katika kaya ni muhirnu kuzingatia idadi ya watu katika kaya, utaalam wa kuhifadhi, vyombo au sehemu ya kuhifadhia na matumizi mengine .

DSpace software copyright © 2002-2025 LYRASIS

  • Cookie settings
  • Privacy policy
  • End User Agreement
  • Send Feedback