Matumizi bora ya zana za Kilimo
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Matumizi bora ya zana za Kilimo by Author "PELUM Tanzania"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Uhakika wa Mbegu kwa Uhakika wa Chakula(© PELUM Tanzania 2013, 2013-09-13) PELUM TanzaniaPELUM Tanzania ni mtandao wa Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali yanayofanya kazi na wakulima na wafugaji wadogo nchini Tanzania. Mtandao huu ulianzishwa mwaka 1995 na kusajiliwa kisheria mwaka 2002. Kazi kuu ya PELUM Tanzania ni kuhamasisha na kuendeleza kilimo endelevu kwa kujenga uwezo wa Mashirika Wanachama kwa njia ya kutandaa, kutunza na kueneza habari pamoja na ushawishi na utetezi. Walengwa wakuu wa PELUM Tanzania ni Mashirika Wanachama ambapo wanufaikaji ni wakulima na wafugaji wadogo wanaohudumiwa na Mashirika Wanachama. Kwa sasa mtandao huu unaundwa na Mashirika Wanachama 33 yanayohudumia wakulima na wafugaji wadogo zaidi ya milioni moja na laki mbili katika mikoa 16 ya Tanzania Bara.