Matumizi bora ya zana za Kilimo
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Matumizi bora ya zana za Kilimo by Author "Tume ya Taifa ya Umwagiliaji"
Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
Item Uhamasishaji wa Teknolojia yakupima unyevu kwenye ardhi au “Teknolojia ya Kinyonga”(Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, 2023) Tume ya Taifa ya UmwagiliajiTekinoljia hii hupima uwepo wa unyevu nyevu ndani ya udongo, na kinapima kiasi cha mvutano ambacho mmea unatumia kupata maji kutoka kwenye udongo. Kina taa za rangi nne na hufukiwa ndani ya udongo ili kupima unyevunyevu.Item Vyama vya Wamwagiliaji(Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, 2023) Tume ya Taifa ya UmwagiliajiKanuni ya 97 ya kanuni za Umwagiliaji inaelekeza uundaji wa kamati ya usuluhishi wa migogoro yenye wajumbe wasiopungua 3 na wasiozidi 5 wali- ochaguliwa miongoni mwa wanachama. Wajumbe wa kamati ya usuluhishi watachaguliwa katika mku- tano mkuu ambao hawatatokana na wajumbe au viongozi waliopo katika kamati kuu ya Usimamizi.