Browsing by Author "BBC swahili"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Dagaa-faida 5 za dagaa(BBC swahili, 2021) BBC swahiliDagaa, ni chakula maarufu duniani, kwa ukanda wa afrika Mashariki ni kitoeo maarufu na mara nyingi kutumiwa kama mboga ya kula na wali ama ugali. Kuna aina nyingi za dagaa, kuanzia wanaotoka baharini hadi ziwani. Mtaalamu wa lishe aliyesajiliwa Nicola Shubrook anatuambia kama dagaa ni nzuri na ni faida gani za lishe tunazoweza kutarajia kutokana na kuzitumia.