Dagaa-faida 5 za dagaa
Loading...
Files
Date
2021
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
BBC swahili
Abstract
Dagaa, ni chakula maarufu duniani, kwa ukanda wa afrika Mashariki ni kitoeo maarufu na mara nyingi kutumiwa kama mboga ya kula na wali ama ugali.
Kuna aina nyingi za dagaa, kuanzia wanaotoka baharini hadi ziwani.
Mtaalamu wa lishe aliyesajiliwa Nicola Shubrook anatuambia kama dagaa ni nzuri na ni faida gani za lishe tunazoweza kutarajia kutokana na kuzitumia.
Description
Dagaa-faida zake
Keywords
Dagaa na faida zake
Citation
https://www.bbc.com/swahili/articles/cv28d5lj3j2o