Browsing by Author "Batamuzi, E. K."
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Uzalishaji bora wa mifugo(TARP II-SUA Project, 2014-11-16) Batamuzi, E. K.Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula, na Chuo Kikuu Cha Kilimo Cha Norway, kinatekeleza mradi huu wa utafiti wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo Tanzania. Mradi huu ambao ulianza rasmi Septemba 2000, unagharimiwa na Serikali ya Norway.