Uzalishaji bora wa mifugo
Loading...
Date
2014-11-16
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
TARP II-SUA Project
Abstract
Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula, na Chuo Kikuu Cha Kilimo Cha Norway, kinatekeleza mradi huu wa utafiti wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo Tanzania. Mradi huu ambao ulianza rasmi Septemba 2000, unagharimiwa na Serikali ya Norway.
Description
Keywords
Mifugo, Uzalishaji wa wanyama