Browsing by Author "Bennet"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Tango(Sokoine university of agriculture, 2023-09-20) BennetHii leo nitaongelea tunda la tango na madhumuni zaidi ni katika kumsaidia mbwa jike kukausha maziwa. Inaweza kutokea mbwa watoto wake wamekua na kuacha kunyonya au watoto wakafariki wakati bado wadogo mara baada ya kuzaliwa, na maziwa yake yasikauke yenyewe ingawa ni mara chache sana.