Tango
Loading...
Date
2023-09-20
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Sokoine university of agriculture
Abstract
Hii leo nitaongelea tunda la tango na madhumuni zaidi ni katika kumsaidia mbwa jike kukausha maziwa. Inaweza kutokea mbwa watoto wake wamekua na kuacha kunyonya au watoto wakafariki wakati bado wadogo mara baada ya kuzaliwa, na maziwa yake yasikauke yenyewe ingawa ni mara chache sana.
Description
Keywords
Maziwa ya mbwa, Tango, Kukausha, Dawa
Citation
https://www.blogger.com/