Browsing by Author "Braun, M"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Mbinu bora za kupunguza mashambulizi ya wadudu kwenye viazi vitamu(Kituo cha utafiti wa kilimo Ukiriguru, 1995) Braun, MViazi vitamu ni mojawapo ya vyakula ambavyo hutumika sana nchini, watu wengi hutumia kama kitafunwa cha asubuhi,Pia wengine hutumia kama chakula ambapo hupikwa kama mlo wa kawaida wakati wa mchana au usiku.Hivyo basi kuna tofauti ya kuviandaa, unaweza kukaanga au kuchemsha pia.