Mbinu bora za kupunguza mashambulizi ya wadudu kwenye viazi vitamu
Loading...
Date
1995
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Kituo cha utafiti wa kilimo Ukiriguru
Abstract
Viazi vitamu ni mojawapo ya vyakula ambavyo hutumika sana nchini, watu wengi hutumia kama kitafunwa cha asubuhi,Pia wengine hutumia kama chakula ambapo hupikwa kama mlo wa kawaida wakati wa mchana au usiku.Hivyo basi kuna tofauti ya kuviandaa, unaweza kukaanga au kuchemsha pia.
Description
Keywords
Viazi vitamu, Mbinu bora, Wadudu, Mashambulizi