Repository logo
  • English
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • Latviešu
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Қазақ
  • বাংলা
  • हिंदी
  • Ελληνικά
  • Српски
  • Yкраї́нська
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
Repository logo
  • Communities & Collections
  • All of DSpace
  • English
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • Latviešu
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Қазақ
  • বাংলা
  • हिंदी
  • Ελληνικά
  • Српски
  • Yкраї́нська
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
  1. Home
  2. Browse by Author

Browsing by Author "Chuo kikuu cha kilimo cha sokoine"

Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Mwongozo wa kutengeneza chakula cha samaki na ulishaji wa samaki
    (Chuo cha kilimo cha Sokoine, 2022) Chuo kikuu cha kilimo cha sokoine
    Samaki kama viumbe hai wengine wanahitaji kula chakula ili waishi na kukua. Katika mazingira ya asili kama vile mito, maziwa na bahari, samaki hula chakula cha asili kinachopatikana ndani ya maji. Vyakula hivyo ni pamoja na jamii ya mimea na vijidudu wanaopatikana kwenye maji. Lakini, samaki wa kufugwa hususan ufugaji wa kibiashara, huhitaji kulishwa chakula cha ziada chenye ubora iliyo na virutubisho vinavyohitajika ili aweze kukua vyema na kwa haraka zaidi. Uandaaji wa chakula cha ziada cha samaki hutegemea zaidi aina ya samaki, mfumo wa samaki husika katika kumeng’enya (kusaga) chakula pamoja na kiasi cha virutubisho vinachohitajika.
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Vyakula vya mgonjwa wa kisukari
    (Chuo cha kilimo cha Sokoine., 2024-06) Chuo kikuu cha kilimo cha sokoine
    Vyakula vya mgonjwa wa kisukari ni vipi? Je, kuna vyakula vinavyosababisha kisukari? Je mgonjwa wa kisukari anaweza kula vyakula vya wanga? Je, kuna vyakula vinavyosababisha Ugonjwa wa Kisukari? Kuna vyakula ambavyo vinaweza kusababisha kisukari au kufanya iwe vigumu kudhibiti sukari. Vyakula vyenye sukari nyingi, mafuta mengi, wanga mwingi, na sodiamu nyingi ni baadhi ya vyakula unavyopaswa kula kwa kiasi.Siri za Vyakula vya Mtu Mwenye Kisukari Aina ya vyakula unavyokula huathiri kiwango cha sukari kwenye damu yako kwa namna tofauti.

DSpace software copyright © 2002-2025 LYRASIS

  • Cookie settings
  • Privacy policy
  • End User Agreement
  • Send Feedback