Vyakula vya mgonjwa wa kisukari
Loading...
Date
2024-06
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Chuo cha kilimo cha Sokoine.
Abstract
Vyakula vya mgonjwa wa kisukari ni vipi? Je, kuna vyakula vinavyosababisha kisukari? Je mgonjwa wa kisukari anaweza kula vyakula vya wanga? Je, kuna vyakula vinavyosababisha Ugonjwa wa Kisukari? Kuna vyakula ambavyo vinaweza kusababisha kisukari au kufanya iwe vigumu kudhibiti sukari.
Vyakula vyenye sukari nyingi, mafuta mengi, wanga mwingi, na sodiamu nyingi ni baadhi ya vyakula unavyopaswa kula kwa kiasi.Siri za Vyakula vya Mtu Mwenye Kisukari Aina ya vyakula unavyokula huathiri kiwango cha sukari kwenye damu yako kwa namna tofauti.
Description
Keywords
Kisukari, mgonjwa, Vyakula
Citation
https://afyatechtz.com/lishe-ya-mgonjwa-wa-kisukari