Browsing by Author "Denis, Marco D."
Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
Item Usindikaji wa bidhaa za viazi vitamu rangi ya chungwa (yellow sweet potatoes)(2016-06-05) Denis, Marco D.Leo hebu tuongelee kuhusu Usindikaji wa viazi hivi na bidhaa mbalimbali kutokana na viazi vitamu rangi ya chungwa. Lakini kumbuka kwamba lazima uzingatie kiwango cha Carotene kisipotee. Ili Kuhifadhi kiwango cha karotini, fanya yafuatayo kabla hujaanza kusindika:- – Sindika kwa haraka – Visindike vikiwa na maganda – Usihifadhi viazi vitamu rangi ya chungwa kwa muda mrefu.Item Usindikaji wa ndizi(Muungwana blog, 2016-01-22) Denis, Marco D.Siku zote usipokuwa na juhudi na maarifa maisha ni magumu sana, lakini unapojituma na kutokukata tamaa, ni wazi utapata mafanikio. Jambo la msingi ni kujifunza mambo mbalimbali na kutenda kwa vitendo. Ndivyo alivyoanza kueleza Penina ambae ni msindikaji wa ndizi kutoka kijiji cha Nndatu wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha. Penina anaeleza kuwa, alianza usindikaji wa ndizi mwaka 2013, baada ya kuhudhuria semina ya usindikaji kutoka katika shirika lisilo la kiserikali la TeMdo. Anaeleza kuwa alifikia uamuzi wa kutafuta utaalamu wa kusindika ndizi, baada ya kuchukizwa na hali ya wakulima kupata hasara iliyotokana na ndizi kuoza na kutupwa msimu ambayo upatikanaji wake ni mkubwa. Pia uhitaji wa ndizi kavu kutoka kwa makundi mbalimbali kulishawishi zaidi kutafuta njia za kisasa za kufanya kazi hiyo.