Usindikaji wa bidhaa za viazi vitamu rangi ya chungwa (yellow sweet potatoes)
Loading...
Date
2016-06-05
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Abstract
Leo hebu tuongelee kuhusu Usindikaji wa viazi hivi na bidhaa mbalimbali kutokana na viazi vitamu rangi ya chungwa.
Lakini kumbuka kwamba lazima uzingatie kiwango cha Carotene kisipotee. Ili Kuhifadhi kiwango cha karotini, fanya yafuatayo kabla hujaanza kusindika:-
– Sindika kwa haraka
– Visindike vikiwa na maganda
– Usihifadhi viazi vitamu rangi ya chungwa kwa muda mrefu.
Description
vViazi vitamu vya rangi
Keywords
USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VIAZI VITAMU RANGI YA CHUNGWA (YELLOW SWEET POTATOES)
Citation
https://kilimoforum.wordpress.com/2016/06/05/usindikaji-wa-bidhaa-za-viazi-vitamu-rangi-ya-chungwa-yellow-sweet-potatoes/