Browsing by Author "Idara ya uhusiano na elimu a wakulima mamlaka ya pamba Tanzania"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Kilimo cha pamba Tanzania(kiwanda cha uchapaji cha taifa, 1999) Idara ya uhusiano na elimu a wakulima mamlaka ya pamba TanzaniaPAMBA ni zao ambalo hustawi vizuri sana katika sehemu kubwa ya nchi yetu. Pamba hustawi katika udongo wa aina mbali mbali mradi tu maji yawe yanapenya kwa urahisi na usiwe na chachu (acidic) kwa wingi. Kiasi cha inchi ishirini za mvua hustawisha pamba vema, kama ikinyesha kwa mpango mzuri. Mwinuko wa kuanzia usawa wa bahari hadi futi 4,500 kutoka usawa wa bahari ndiyo hasa hufaa kwa ustawishaji wa pamba.